Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU: WASICHANA WA KIDATO CHA NNE WANAONGOZA KUA NA WAPENZI SHULE

 


Ripoti ya Shirika la Haki Elimu Tanzania ya Utafiti wa Elimu ya Msingi na Sekondari kwa wasichana  Mwaka 2019 inabainisha wasichna waliokua na wapenzi kwanzia darasa la tano mpaka kidato cha Nne ambapo wale wa kidato cha Nne wameonekana wengi walikua na wapenzi.

Jedwali hapo chini linafafanua asilimia za wanafunzi wa kike walikua na wapenzi kwanzia Darasa la Tano hadi Kidato cha Nne.

DARASA/KIDATO.

WANAFUNZI WALIO NA WAPENZI.

DARASA LA TANO

0.9%

DARASA LA SITA

1.1%

DARASA LA SABA

1.5%

KIDATO CHA KWANZA

2.2%

KIDATO CHA PILI

6.4%

KIDATO CHA TATU

8.3%

KIDATO CHA NNE

16%

Chanzo: Haki Elimu Tanzania.

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com 

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

Post a Comment

0 Comments