Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU: WILAYA YA GEITA INA KIWANGO CHA JUU MAAMBUKIZI YA MARALIA MKOA WA GEITA

 


Kiwango cha juu cha maambukizi ya Malaria kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano  katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita ni asilimia 22.4% ilhali kiwango kidogo cha Malaria kipo katika Halmashauri ya Geita Mji ambayo ni asilimia 10.4%, Kwa mujibu wa Ripoti ya Atlasi ya Malaria ngazi ya Halmshauri iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS),  Mwezi Agosti 2018.

 

Ripoti ya Atlasi ya Malaria imebanisha, kiwango cha Malaria kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano Mkoa wa Geita ni asilimia 17.3%, kiwango hiki cha Malaria ni kikubwa kwa zaidi ya mara mbili ukilinganisha na wastani wa kitaifa wa asilimia 7.3%.

 

Jedwali hapo chini linaonesha asilimia za maambukizi ya Malaria kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano kwa Halmashauri za Mkoa wa GEITA.

 

MKOA

HALMASHAURI.

ASILIMIA YA KIWANGO CHA MALARIA

 

 

 

GEITA

GEITA

22.4%

MBOGWE

16.3%

CHATO

16.1%

BUKOMBE

15%

NYANG’WALE

12.3%

GEITA MJI

10.4%

Chanzo: NBS

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

 

Post a Comment

0 Comments