Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU ZA RUZUKU ZILIZOTOLEWA SHULE ZA SEKONDARI MKOA WA MTWARA 2019/2020.

 

Kutoka katika Ripoti ya utoaji Ruzuku kwa Shule za Sekondari nchini ya Mwaka wa Fedha 2019/2020, iliotolea na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na Serikali za mitaa -TAMISEMI ikionesha kiasi cha Ruzuku iliotolewa na serikali kwenda Shule za Sekondari zote nchini za Serikali.

 Upande wa Mkoa wa Mtwara, Shule ya Sekondari Mtwara ufundi  iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara, inaongoza kupewa Ruzuku kubwa kuzidi Shule zote zilizopo Halmashauri za Mkoa wa Mtwara, wakati Shule ya Sekondari Kitere kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara ikipewa Ruzuku ndogo zaidi kwa Mwaka wa Fedha wa 2019/2020 kama Jedwali linavyofafanua hapo chini.

MKOA.

 

 

HALMASHAURI

SHULE ILIYOPEWA RUZUKU KUBWA.

KIASI CHA FEDHA.

SHULE ILIYOPEWA RUZUKU NDOGO.

KIASI CHA FEDHA.

 

 

 

MTWARA

MASASI DC

NDANDA

9,466,275

CHIKOROPOLA

1,158,833

MASASI TC

ANNA ABDALLAH

7,900,864

SULUHU

3,245,678

MTWARA DC

ZIWANI

6,403,428

KITERE

927,842

MTWARA MC

MTWARA UFUNDI

10,573,841

BANDARI

3,886,536

NANYAMBA TC

NANYAMBA

7,990,869

CHAWI

2,554,957

NANYUMBU DC

MANGAKA

7,119,428

LUMESULE

2,284,789

NEWALA DC

MPOTOLA

5,845,238

CHIHANGU

1,952,974

NEWALA TC

NANGWANDA

8,040,766

NAMBUNGA

2,105,957

 

TANDAHIMBA DC

TANDAHIMBA

8,278,440

LIENJE

1,802,501

 

Chanzo: TAMISEMI

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

 

 

 

 

 

 

 

Post a Comment

0 Comments