Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU ZA UWIANO WA UFAULU KATI YA WAVULANA NA WASICHANA SHULE ZA MSINGI

 


                                                       Picha na IPP Media

Kwa mujibu wa Ripoti ya utafiti wa kujifunza iliotolewa Mwaka 2019 na Shirika la Uwezo Tanzania, inaonesha uwianao wa ufaulu wa wanafunzi wavulana na wasichana darasa la tatu hadi darasa la saba hautofautiani pakubwa kwa masomo ya Kiswahili,Kingeleza na Kuhesabu.

Wastani wa ufaulu wavulana na wasichana kwa masomo matatu katika kipindi cha mwaka  2017, kinaonyeshwa kupitia Jedwali hapo chini linaeleza zaidi ufaulu kwa majaribio ya Masomo matatu, Kiswahili,Kingeleza na Kuhesabu.

 

WASITANI WA UFAULU

DARASA

 

III

IV

V

VI

VII

Wavulana

48%

58%

66%

71%

72%

Wasichana

50%

59%

67%

70%

73%

Chanzo: Uwezo Tanzania.

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com 

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com 

 

Post a Comment

0 Comments