Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU:SEKONDARI YA KIKULYUNGU ILIPEWA RUZUKU NDOGO ZAID MKOA WA LINDI.

Kutoka katika Ripoti ya utoaji Ruzuku kwa Shule za Sekondari nchini ya Mwaka wa Fedha 2019/2020, iliotolewa na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na Serikali za mitaa -TAMISEMI ikionesha kiasi cha Ruzuku iliotolewa na serikali kwenda Shule za Sekondari zote nchini za Serikali.

 Upande wa Mkoa wa Lindi, Shule ya Sekondari Mahiwa iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Lindi inaongoza kupewa Ruzuku kubwa kuzidi Shule zote zilizopo Halmashauri za Mkoa wa Lindi wakati Shule ya Sekondari Kikulyungu kutoka Halmashauri ya Liwale ikipewa Ruzuku ndogo zaidi kwa Mwaka wa Fedha wa 2019/2020 kama jedwali linavyofafanua hapo chini. 

MKOA.

 

 

HALMASHAURI

SHULE ILIYOPEWA RUZUKU KUBWA.

KIASI CHA FEDHA.

SHULE ILIYOPEWA RUZUKU NDOGO.

KIASI CHA FEDHA.

 

 

 

LINDI

KILWA DC

ILULU GIRLS

6,838,719

KIKAWAGE

1,106,623

LINDI DC

MAHIWA

11,083,473

MANDWAGA

897,772

LINDI MC

LINDI

10,353,129

MITWERO

3,530,810

LIWALE DC

LIWALE

9,695,642

KIKULYUNGU

746,019

 

NACHINGWEA DC

NACHINGWEA DAY

9,667,730

MATEKWE

1,352,740

 

RUANGWA DC

MBEKENYERA

7,419,473

LIUGURU

1,162,352

Chanzo: TAMISEMI
Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -
John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com  
Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com  

Post a Comment

0 Comments