Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU:SEKONDARI YA LULA ILIPEWA RUZUKU NDOGO ZAID MKOA WA RUKWA 2019/2020.

Kutoka katika Ripoti ya utoaji Ruzuku kwa Shule za Sekondari nchini ya Mwaka wa Fedha 2019/2020, iliotolea na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na Serikali za mitaa -TAMISEMI ikionesha kiasi cha Ruzuku iliotolewa na serikali kwenda Shule za Sekondari zote nchini za Serikali.

Upande wa Mkoa wa Rukwa, Shule ya Sekondari Lukangao iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga inaongoza kupewa Ruzuku kubwa kuzidi Shule zote zilizopo Halmashauri za Mkoa wa Rukwa wakati Shule ya Sekondari Lula kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga ikipewa Ruzuku ndogo zaidi kwa Mwaka wa Fedha wa 2019/2020 kama jedwali linavyofafanua hapo chini. 

MKOA.

 

 

HALMASHAURI

SHULE ILIYOPEWA RUZUKU KUBWA.

KIASI CHA FEDHA.

SHULE ILIYOPEWA RUZUKU NDOGO.

KIASI CHA FEDHA.

 

 

 

RUKWA

KALAMBO DC

MATAI

12,669,321

KALEMBE

2,211,307

NKASI DC

KIRANDO

13,296,009

MASHETE

2,334,081

SUMBAWANGA DC

UCHILE

9,336,758

LULA

783,856

SUMBAWANGA MC

LUKANGAO

15,264,226

MHAMA

3,524,082

Chanzo: TAMISEMI
Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -
John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com
Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

 

 

 

 


Post a Comment

0 Comments