Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU:UWIANO WA KUSOMA NA KUHESABU KWA WANAFUNZI WA MIJINI WANAONGOZA KULIKO VIJIJINI.

 


Ripoti ya tathmini ya kujifunza ilitolewa Mwaka  2019 na Shirika la Uwezo Tanzania inaonesha  watoto wa maeneo ya mijini waliwapita wenzao wa vijijini kwa kusoma hadithi fupi kwa Kiingereza na Kiswahili ikilinganishwa na wanafunzi 6 kati ya 10 sawa na (59%) ya wenzao katika maeneo ya vijijini.

Uwiano huo ni kwa Masomo matatu ya Kiswahili, Kingereza na Kuhesabu, ambapo Uwezo Tanzania imefanya utafiti katika maeneo ya vijijini na mijini kwa Mwaka 2017.

Jedwali hapo chini linaeleza zaidi ufaulu kwa majaribio ya Masomo matatu, Kiswahili,Kingeleza na Kuhesabu.

 

 

 

2017

MJINI

70%

VIJIJINI

59%

Chanzo: Uwezo Tanzania.

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com 

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com 

 

Post a Comment

0 Comments