Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

UTAFITI: VITENDO VYA NGONO VINACHANGIA 24.3% WANAFUNZI WA KIKE KUACHA MASOMO

 

 

Kwa mujibu wa Ripoti ya Utafiti wa Elimu ya Msingi na Sekondari kwa wasichana  Mwaka 2019,  kutoka Shirika la Haki Elimu Tanzania imebainisha sababu mbamimbali za wanafunzi kukatisha masomo yao wakiwa Shule ambapo miongoni mwazo vitendo vya ngono na ujauzito ndio vinatajwa kuongoza.

Vitendo vya Ngono vinachangia kwa 24.3% wakati ujauzito unachangia kwa  38.4% katika mikoa iliyofanyiwa utafiti ya Dar es salaam, Kilimanjaro, Tabora, Dodoma na Lindi.

Jedwali hapo chini linafafanua sababu mbalimbali za wanafunzi kuacha masomo kwa asilimia na idadi ya wanafunzi wanaoacha masomo kwa Mkoa.

SABABU

DAR E S SALAAM (N=369)

KILIMANJARO (N=363)

TABORA (N=372)

DODOMA (N=375)

LINDI (N=362)

JUMLA

KIKWAZO CHA FEDHA

12.1%

10.4%

16.9%

10.2%

11.4%

12.7%

ADHABU YA VIBOKO

4.9%

6.7%

9.9%

2.8%

6.3%

6.5%

UGUMU WA MASOMO

16.6%

10.9%

8.6%

6.5%

10.4%

10.5%

UONEVU

3.4%

2.1%

4.4%

3.2%

5.2%

3.9%

VITENDO VYA NGONO

25.3%

24.9%

20.1%

17.6%

31.6%

24.3%

KAZI ZA NYUMBANI

2.6%

4.7%

3.4%

3.7%

4.1%

3.6%

UJAUZITO

35.1%

40.4%

36.7%

56.0%

31.1%

38.4%

JUMLA

100.0%

100.0%

100.0%

100.0%

100.0%

100.0%

Chanzo: Haki Elimu Tanzania.

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com 

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

 

Post a Comment

0 Comments