Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU: DAR ES SALAAM INAONGOZA KUWA NAWANAFUNZI WASIO ONA

 

Ripoti ya Takwimu za elimu ya mwaka 2020, iliotolewa na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa TAMISEMI, inaonesha idadi ya wanafunzi Wasio ona kwa shule za awali za serikali na binafsi kwa kila mkoa nchini, ambapo jumla wanafunzi wa darasa la awali wasio ona ni 287 kwa mikoa ya Tanzania bara.

Mkoa wa Dar es Salaam unaongoza kwa kuwa na wanafunzi wengi wenye ulemavu wa kutoona kwa darasa la awali kwa Shule zote za Serikali na za binafsi.

Aidha Ripoti ya Best 2020, imeitaja mikoa ya Lindi, Mtwara na Tabora kutokua na mwanafunzi hata mmoja aliye na ulemavu wa kuto ona.

Jedwali hapo chini linaonesha hali halisi kwa upande wa mikoa ya Tanzania bara.

MIKOA

Wasio ona

M

K

Arusha

9

 4

Dar es Salaam

48

49

Dodoma

8

9

Geita

2

1

Iringa

5

1

Kagera

7

2

Katavi

1

0

Kigoma

1

 4

Kilimanjaro

2

4

Lindi

0

0

Manyara

0

0

Mara

5

 3

Mbeya

2

1

Morogoro

13

 9

Mtwara

3

6

Mwanza

1

0

Njombe

3

2

Pwani

2

1

Rukwa

1

3

Ruvuma

5

3

Shinyanga

1

4

Simiyu

0

3

Singida

2

2

Songwe

4

2

Tabora

0

0

Tanga

44

5

TOTAL

169

118

Chanzo: Kitabu cha Takwimu za Elimu Best 2020.

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com 

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

 

Post a Comment

0 Comments