Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU: MOROGORO INAONGOZA KUWA NAWANAFUNZI WENYE ULEMAVU WA VIUNGO

 

Ripoti ya takwimu za elimu ya mwaka 2020, Best 2020 iliotolewa mwaka 2021 na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa TAMISEMI kwaushirikiano na kituo cha Taifa cha Takwimu NBS, inaonesha idadi ya wanafunzi wenye Ulemavu wa Viungo kwa shule za msingi za serikali na binafsi kwa kila mkoa nchini, ambapo jumla ya wanafunzi wa Darasa la Awali wenye ulemavu wa viungo1061 kwa mikoa yote ya Tanzania bara.

Mkoa wa Morogoro unaongoza kwa kuwa na wanafunzi wengi wa darasa la awali wenye Uleamavu wa Viungo.

Aidha ripoti ya Best 2020 imeutaja Mkoa wa Lindi unaidadi ndogo zaidi ya wanafunzi wa Darasa la awali wenye Uleamavu wa Viungo.

Jedwali hapo chini linaonesha hali halisi.

MIKOA

Wenye Ulemavu wa Viungo

M

K

Arusha

18

14

Dar es Salaam

16

23

Dodoma

32

 9

Geita

24

19

Iringa

32

 20

Kagera

37

18

Katavi

9

 3

Kigoma

22

10

Kilimanjaro

19

21

Lindi

6

6

Manyara

18

14

Mara

28

 21

Mbeya

26

21

Morogoro

52

38

Mtwara

13

14

Mwanza

30

12

Njombe

23

13

Pwani

41

26

Rukwa

15

16

Ruvuma

30

33

Shinyanga

10

9

Simiyu

20

12

Singida

22

15

Songwe

13

8

Tabora

28

14

Tanga

40

28

TOTAL

624

437

Chanzo: Kitabu cha Takwimu za Elimu Best 2020.

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com 

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

 

Post a Comment

0 Comments