Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU WATOTO WALIOPATA HUDUMA ZA MALEZI YA KAMBO 2020

 

 


Ripoti ya kitabu cha hali ya uchumi wa Taifa katika Mwaka 2020, kinaonesha  Serikali ilitekeleza afua mbalimbali zinazotoa fursa kwa watoto walio katika mazingira hatarishi kulelewa katika familia na walio katika mazingira hatarishi kupata huduma za malezi ya kambo. 

Aidha jumla ya watoto 95 waliasiliwa mwaka 2020 ikilinganishwa na watoto 49 walioasiliwa mwaka 2019.


WATOTO WALIO PATA MALEZI YA KAMBO

MWAKA

WASICHANA

WAVULANA

JUMLA

2020

110

107

217

2019

 

 

65

WATOTO WALIOASILIWA

2020

44

51

95

2019

23

26

49

 

 

 

 

Chanzo: Kitabu cha hali ya Uchumi wa Taifa katika Mwaka 2020.

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com 

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

 

Post a Comment

0 Comments