Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU ZA WATOTO WALIO HUKUMIWA MWAKA 2020

 

 


Mwaka 2020, Serikali iliendelea kuwezesha upatikanaji wa huduma za chakula, malazi, elimu, mavazi na matibabu pamoja na marekebisho ya tabia kwa watoto waliobainika na makosa ya jinai katika shule ya maadilisho Irambo - Mbeya.

 Katika kipindi hicho, watoto 31 (Msichana mmoja na wavulana 30) walihukumiwa na kupelekwa katika shule ya maadilisho Irambo Mbeya ikilinganishwa na watoto 32 (wasichana 2 na wavulana 30) mwaka 2019. 

WATOTO WALIO HUKUMIWA

Mwaka

Wasichana

Wavulana

Jumla

2020

1

30

31

2019

2

30

32

Chanzo: Kitabu cha hali ya Uchumi wa Taifa katika Mwaka 2020.

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com 

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

 

 

Post a Comment

0 Comments