Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU ZA WATOTO WALIOZALIWA MWAKA 2020

 

 


Kwa mujibu wa ripoti ya kitabu cha hali ya uchumi wa Taifa katika Mwaka 2020 kilicho tolewa na Wizara ya Fedha na mipango mwezi julai mwaka 2021jijini Dodoma, imezungumzia hali ya uchumi katika sekta mbalimbali nchini.

Katika sura ya 20 inayozungumzia Afya na Maendele ya Jamii kipengele cha Vituo vya Kutolea Huduma za Afya Mwaka 2020, viliongezeka na kufikia vituo 9,813 kutoka vituo 9,104 mwaka 2019, sawa na ongezeko la asilimia 7.8. 

Aidha Mwaka 2020, watoto 1,823,380 walizaliwa ikilinganishwa na watoto 1,794,856 waliozaliwa mwaka 2019. 

VITUO VYA AFYA

     2019

   2020

9,104

9,813

WATOTO WALIO ZALIWA

1,794,856

1,823,380

 

Chanzo: Wizara ya Fedha na Mipango.

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com 

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

 


Post a Comment

0 Comments