Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU:MKOA WA TANGA UNAONGOZA KUA NA WANAFUNZI WENGI WENYE UALBINO

 

Ripoti ya takwimu za elimu ya mwaka 2020, Best 2020 iliotolewa na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa TAMISEMI, inaonesha idadi ya wanafunzi wenye ualbino kwa shule za msingi za serikali na binafsi kwa kila mkoa nchini, ambapo jumla ya wanafunzi wa Darasa la Awali wenye ualbino ni 347 kwa Shule za Serikali na za binafsi katika Mikoa yote ya Tanzania bara.

Mkoa wa Tanga unaongoza kwa kuwa na wanafunzi wengi wa darasa la awali wenye ualbino.Aidha Ripoti ya Best 2020 imeitaja mikoa ya Katavi na Njombe imekua na idadi ndogo zaidi ya wanafunzi wa darasa la awali wenye ualbino.

MIKOA

Albino

M

K

Arusha

4

 11

Dar es Salaam

14

14

Dodoma

4

5

Geita

6

21

Iringa

2

0

Kagera

6

8

Katavi

1

1

Kigoma

4

0

Kilimanjaro

13

 8

Lindi

3

3

Manyara

3

6

Mara

7

8

Mbeya

6

 2

Morogoro

17

15

Mtwara

7

7

Mwanza

14

7

Njombe

1

1

Pwani

8

9

Rukwa

6

4

Ruvuma

7

13

Shinyanga

3

6

Simiyu

2

2

Singida

5

6

Songwe

5

 0

Tabora

6

4

Tanga

16

16

TOTAL

170

177

Chanzo: Kitabu cha Takwimu za Elimu Best 2020.

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com 

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

Post a Comment

0 Comments