Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

WANAWAKE WAJAWAZITO WAMEHUDHURIA KWA WINGI KLINIKI MWAKA 2020.

Ripoti ya kitabu cha hali ya uchumi wa Taifa mwaka 2020, katika kipengele cha Afya ya Uzazi na Mtoto Mwaka 2020, idadi ya wajawazito 2,394,736 walihudhuria kliniki ikilinganishwa na wajawazito 2,320,559 mwaka 2019, sawa na ongezeko la asilimia 3.2.

 Aidha, asilimia 37.7 ya wajawazito walifanya hudhurio la kwanza kabla ya majuma 12 mwaka 2020 ikilinganishwa na asilimia 34 mwaka 2019.

Wajawazito waliohudhuria kliniki angalau mara nne waliongezeka kutoka asilimia 80.4 mwaka 2019 hadi asilimia 90.1 mwaka 2020. 

IDADI YA WAJAWAZITO

2019

2020

 

2,320,559

2,394,736

MAHUDHURIO KLINIKI YA KWANZA

34%

37.7%

MAHUDHURIO KLINIKI MARA NNE

80.4%

90.1%

Chanzo: Wizara ya Fedha na Mipango.

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com 

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

 

Post a Comment

0 Comments