Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

WATOTO 1,823,380 WALIOZALIWA MWAKA 2020, ASILIMIA 98 WALIPATA CHANJO MBALIMBALI

 

 


 Kwa mujibu wa ripoti ya kitabu cha hali ya uchumi wa Taifa katika Mwaka 2020

Chanjo ya PENTA-3 na Surua rubella zilitolewa kwa (asilimia 98).

Rota2  ni (asilimia 91.5).

OPV 1 (asilimia 84) na

OPV 2 (asilimia 75).

Chanjo hizo hutolewa kwa lengo la kuzuia magonjwa ya kupooza, kuharisha, pepopunda, pneumonia, homa ya ini, homa ya uti wa mgongo, surua, polio na dondakoo kwa watoto walio chini ya mwaka mmoja. 

Aidha, Tanzania imeendelea kutoa chanjo hizo ili kukidhia vigezo vya Shirika la Afya Duniani vinavyotaka nchi kuhakikisha kuwa zaidi ya asilimia 90 ya watoto wa chini ya mwaka mmoja wanapata chanjo. 

Chanzo: Wizara ya Fedha na Mipango.

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com 

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

Post a Comment

0 Comments