Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU: MAKUNDI YA WATOTO WENYE ULEMAVU YALIO ONGOZA KUSAJILIWA SHULE

 

kwa mujibu wa ripoti ya utafiti juu ya upataji Elimu ya awali kwa watoto wenye ulemavu Tanzania Bara, iliyozinduliwa sepemba 14, 2021na Shirika la Haki Elimu Tanzania, katika ukurasa wa kwanza Ripoti inaonesha watoto wenye ulemavu wa viungo walisajiliwa kwa wingi kuzidi makundi yote ya watoto wenye ulemavu, kuanzia mwaka 2017-2019.

Kundi la watoto wenye ulemavu wa viungo liliongoza kwa kua na watoto 3,391wakifuatiwa na kundi la watoto wenye ulemavu wa akili jumla yao ilikua 2,861 kwa darasa la chekechea kipindi cha miaka miwili Tanzania Bara.

Chanzo: Haki Elimu

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com 

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

 

 

 

Post a Comment

0 Comments