Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU:WATOTO YATIMA WALIO ANDIKISHWA DARASA LA AWALI

 

Ripoti ya takwimu za elimu ya mwaka 2020 iliotolewa na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa, inaonesha idadi ya wanafunzi yatima  kwa shule za awali za serikali kwa halmashauri na Mkoa nchini, ambapo jumala ya wanafunzi wa Darasa la Awali walio andikishwa kwa mwaka 2020 ni 1,278,886 kwa Shule zote za Serikali Tanzania bara.

Mkoa wa Mwanza unaongoza kwa kuwa na wanafunzi wengi yatima 95697 wa darasa la awali, ukifuatiwa na Mkoa wa Kagera kwakuandikisha wanafunzi 84261

Aidha Ripoti ya Best 2020, imeutaja Mkoa wa Katavi kuwa na idadi ndogo zaidi kuandikisha  wanafunzi yatima 18619 wa Darasa la Awali.

Kwangazi ya halmashauri inayo ongoza kwa kuandikisha wanafunzi wengi yatima ni halmashauri ya Muleba Mkoani Kagera iliandikisha wanafunzi 18441, ikifuatiwa na halmashauri ya Kwimba Mkoani Mwanza iliandikisha wanafunzi 15069. Na halmashauri ya Mlele Mkoa wa Katavi iliandikisha wanafunzi 1230 ni wachache kuliko halmashauri zote Tanzania Bara.

Chanzo: Kitabu cha hali ya Uchumi wa Taifa katika Mwaka 2020.

Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: -

John Kabambala: kabambalajohn@gmail.com 

Hamad Rashid: hamadrashidhd@gmail.com

 

 

Post a Comment

0 Comments